Msaada: The application google play store has stopped unexpectedly

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Wakuu habari,

Kichwa hapo juu kinajieleza, natumia Tecno p3 ninajaribu kudownload apps kwenye google inaleta hayo maneno "the application google pray store has stopped unexpectedly please try again"
 
tafuta wataalamu wa mambo hayo wakufanyie download ya hizo applications.
 
Unatumia Android version ipi?
Kabla ulitumia google play bila shida?kama sio je Kitu gani ama apps ipi unataka \ unahitaji kudownload from google play store?
 
Unatumia Android version ipi?
Kabla ulitumia google play bila shida?kama sio je Kitu gani ama apps ipi unataka \ unahitaji kudownload from google play store?

Awali nilikuwa natumia bila shida, kama kuna kuna application nyingine za kudownlodia nitajie niitumie mkuu, natumia adroid version 2.3.5.
 
Google .Una download apps bila shida wala nini
 
kama ni pray store usiangaike,itakua inajiandaa kwa ajili ya ibada ya jpili.,jaribu baada ya muda wa prayer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…