Msaada tecno spark k7

Msaada tecno spark k7

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Habari,kwa wale wanaozitumia hizi simu tecno spark k7 ninaomba kufahamu namna ya kuhamisha apps kutoka internal storage kwenda kwenye sd card.
 
Apps huwezi hamishaa labda Apks zake...!! apps zinakaa kwenye simuuu
 
Back
Top Bottom