Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
E bwana simu kumbe haina prob yoyote,ulichosema ni sahihi kabisa,baada ya kupata majibu ya kukatisha tamaa ya wadau hapa ikabidi nigoogle tatizo ndipo nilipogundua kuwa Kuna PDF readers kibao na Mimi Mara ya Kwanza ilikuwa inatumia chrome,ikabidi nichague PDF reader mojawapo nikaiinstal mambo yakawa mbashara.
Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
Simu au computer yoyote huwezi kufungua mafile yenye format ya pdf, doc, docx n.k kama hakuna software yoyote itakayokuwezesha kufungua hayo mafile.
Ingia google tafuta Sumatra pdf apk, adobe reader apk au wps apk. kisha install na ufurahie.
Good luck