Wadau nisaidieni hili, natumia Tecno S3 ila mara nyingi sipatikani japo simu inaonesha kuwa minara iko juu,kuna mtu aliniambia nikifanya 'Reinstallation' itasaidia,sijajua kama itasaidia. Mawazo please!!