Msaada: Tecno L8 inakataa app za whatsap na facebook

Msaada: Tecno L8 inakataa app za whatsap na facebook

buko

Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
52
Reaction score
16
Naombeni mnisaidie hii simu yangu techno L8 baadhi ya mitandao ya kijamii inagoma kama vile whatsap,facebook msaada pls
 
Kiukweli hii simu ni mateso! Itabidi kununua L8 plus labda ina unafuu.

Fanya kui restart au izime kabisa kwa muda halafu uiwashe, ikishindikana kufanya kui root
 
Back
Top Bottom