Msaada: Tecno J8 haiconnect Wi-Fi hotspot kwenye PC

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
74
Ndugu wanajamvi naomba msaada kwa anaefahamu
Simu yangu haiconect mtandao kwenye pc japo inaonesha imeunganisha lkn ukifungua browser haifungui tovuti inasema there is no internet connection
 
Kwa kuanza tuu je ni Windows gani unatumia, umekagua, drivers, umejaribu kutroubleshoot kama kubadilisha jina la hotspot kwenye simu yako hiyo na kuweka password off, kama hujajaribu hata kimoja embu anzia hapo
 
Nikiunga kwa hotspot kupitia cm nyingine pc inakubali. Ttzo liko kwenye cm. Ushauri nifanye nn plz
 
Ukitumia simu kawaida bila kuconnect hotspot kwenye pc unapata access ya internet??

If yes jaribu option hizi kama alivyokupa mdu mmoja hapo juu
1.badilisha jina la hotspot
2.jarbu kuconnect with no password ila uweke limit ya mtu mmoja kuwa connected at a time
3.if hautumii password then weka password and then try to connect

Jarbu one option at a time.
 
Back
Top Bottom