Sungurampole JF-Expert Member Joined Nov 17, 2007 Posts 984 Reaction score 206 Aug 25, 2015 #1 Wanajamvi, Naomba kwa nayejua anipashe juu ya techno J7 - hii ni simu nzuri? Ikilnganishwa na nyingine kwenye range ya 300,000 ni vipi? Naomba kuwasilisha
Wanajamvi, Naomba kwa nayejua anipashe juu ya techno J7 - hii ni simu nzuri? Ikilnganishwa na nyingine kwenye range ya 300,000 ni vipi? Naomba kuwasilisha