Wataalamu naomba msaada simu yangu ya tecno niliweka chaji nikiwa nimeizima nimeitoa nikaiwasha huwa natumia password nashangaa nikiingiza naambiwa wrong passwad ni tecno cha zamani tu tecno 605,nifanyaje ili nifungue
CC cmkwawa na wataalaam wote katika jukwaa hili
"Vox popoli vox dei"
Kiongozi unajua ni hivi simu nilizima nikaweka chaji,sasa ninapoiwasha huwa naingiza passwad ndo ifunguke,ulichonielekeza nikibonyesha *#hazionyeshi chochote mpaka namba
Unapiga kelele tu bila kunifahamu,nina smartphone 2,ndo naingia nazo JF,blackberry via Nokia Lumia,sema hiyo tecno natumia pale simu zangu zingine zisipokua na chaji,shughuli zangu za kusafiri safiri,na smartphone hazikai na chaji zaidi 1day#TATIZO NECTA 2012#
"Vox popoli vox dei"