Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 29, 2016 #1 Wadau niliroot simu yangu sasa ninataka kuiludisha katika hali yake ya kawaida nitumie njia gani! Ni Tecno h6.
Wadau niliroot simu yangu sasa ninataka kuiludisha katika hali yake ya kawaida nitumie njia gani! Ni Tecno h6.
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Apr 29, 2016 #2 Umetumia App gani kuroot?
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 30, 2016 Thread starter #3 Kingroot
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,146 Reaction score 190,609 Apr 30, 2016 #4 unroot kwa hio hio app, nadhani kuna option hio kaka
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 30, 2016 Thread starter #5 Hiyo option siioni ya Ku unroot
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Apr 30, 2016 #6 Kabelwa said: Hiyo option siioni ya Ku unroot Click to expand...
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Apr 30, 2016 #10 Cheki hizo screen shoot hiyo ya kwanza hapo juu hili upate menu bonyeza hapo juu kulia kwako kwenye vidot vitatu kisha endelea na hatua zingine kama unavyoona kwenye screen shoot
Cheki hizo screen shoot hiyo ya kwanza hapo juu hili upate menu bonyeza hapo juu kulia kwako kwenye vidot vitatu kisha endelea na hatua zingine kama unavyoona kwenye screen shoot
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 30, 2016 Thread starter #11 Nimesha unstall hiyo kingroot sasa tatizo linakuja nikitaka kufanya hard reset inagoma
emkeyjr Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18 Reaction score 13 May 3, 2016 #12 Ilishawahi kunikuta iyo.. Mie kwangu hard reset ilikubar.. Ila apps zote za google ziligoma kufanya kazi...
Ilishawahi kunikuta iyo.. Mie kwangu hard reset ilikubar.. Ila apps zote za google ziligoma kufanya kazi...