Msaada Tecno C9 imegoma kuwaka

Daily nilikuwa najiuliza kwanini hizi phantoms ambazo full HD amoled display ziwe na resolution dhaifu kumbe tatizo Ni gpu ndogo!!!

Swali langu je Ni kweli display hizi Ni amoled Kama wanavyodai

Sent from mTalk
 
kaka pole sana kwa janga hilo, hiyo simu si ni mpya ina week 2 tu? hebu warudishie dukani ulikonunua
Mbaya zaidi mi nipo Biharamu Kagera niliiagiza cm kutoka Dar ikaletwa sealed hiyo inamaana warrant haikujazwa so itakula kwangu ina hata wiki haijaisha tangu inifikie. Labda ngoja niulize kama nitapata sehemu yenye Wi-Fi katika sehemu ya karibu.
 
Wifi tafuta simu nyingine fanya tethering connect na hiyo simu yako then itakuomba gmail na password yako uliyoweka simu inafanya kazi kwa maelezo Zaid soma habari za android FRP
 
Mbaya zaidi mi nipo Biharamu Kagera niliiagiza cm kutoka Dar ikaletwa sealed hiyo inamaana warrant haikujazwa so itakula kwangu ina hata wiki haijaisha tangu inifikie. Labda ngoja niulize kama nitapata sehemu yenye Wi-Fi katika sehemu ya karibu.
Ndugu yangu kikoti Kama ungekuwa upo dar ingekuwa rahisi kwenda dukani ili usaidiwe na muuzaji pia hawa tecno wana kitengo Chao cha kusaidia wateja opposite na msimbazi police kariakoo ila Kama Simu yako ina warranty

Pole Sana mkuu!!!

Sent from mTalk
 
Nashukuru wote mliochangia kuitoa cm yangu ilipokuwa kiukweli ktk kujaribu jaribu nikakumbuka nina cm nyingine na yenyewe ina wi-fi ngoja nijaribu nione kama ina detect ikakubali. So nashukuru sana sim yangu imepona michango yenu imeirudisha cm yangu aksanteni sana.
 
Daily nilikuwa najiuliza kwanini hizi phantoms ambazo full HD amoled display ziwe na resolution dhaifu kumbe tatizo Ni gpu ndogo!!!

Swali langu je Ni kweli display hizi Ni amoled Kama wanavyodai

Sent from mTalk
sijawahi sikia tecno amoled umeona wapi? unaweza nipa link?
 
Ifike kipindi sasa waingizaji WA Simu watuletee brand za china zenye akili Kama meizu,Xiaomi,gionee tuone hawa akina techo watauza Kwa nani haya makaratasi yao

Sent from mTalk
Hapo kwenye Gionee nakuunga mkono ndugu.
Kuna mchina mwingine huyo,anaitwa Doogee,ana brand yake moja matata,HomTom HT6.
Siyo kila mchina ni kimeo,ni matumizi yako na kuset kwako,ukiset vitu usivyovijua inakula kwako.
 
Duuuuh wewe noma yaani nimeishia kusoma namba tu mara core 4 nyingine core 2...nilichoelewa kati ya nne na mbili ..4ni kubwa zaidi ya 2....Hongera...
 
Umesema haiwaki mbona ina waka Hiyo ni frp (locked to google account) hadi utumie tools nenda kwa fundi
 
duh hata sijawahi kuzisikia, ukiona majina ya ajabu ajabu ujue hakuna simu hapo
Mkuu hizi SIMU zinabamba sana middle east Dubai ndo habari ya mjini ukiingia souq utaziona. Nikafikiri unazipata unipe dondoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…