Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 121
hivi chief specification za hii simu kama c9. ukilinganisha na simu za kampuni nyingne kama iphone, sony, sumsung au lg bei yake ni shingapi.mkuu simu mpya si unairudisha ulipoinunua? si ina warranty?
Mkuu nikifanya hivo inanipeleka kwenye recovery mode na niki reboot inaanza select cm for data, inafuata select cm for call inafuata select cm for massage baada ya hapo inafika katika searching for wife ndo inaendelea hivohivo mwisho ndo hapo inaishia.Pres batan ya kuwashia na ya kuongezea saut kwa pamoja halaf ulete mrejesho
Hamn pa kuskip kwenye wi-fi?Mkuu nikifanya hivo inanipeleka kwenye recovery mode na niki reboot inaanza select cm for data, inafuata select cm for call inafuata select cm for massage baada ya hapo inafika katika searching for wife ndo inaendelea hivohivo mwisho ndo hapo inaishia.
Ndio mkuu nafikiri tatizo ni kukonekti ineternet automatically ingekonect internet inge skip sasa hilo ndo shida.Hamn pa kuskip kwenye wi-fi?
Wipe simu kwa kutumia recovery kisha wipe na cache then rebootHabarini waungwana kama nilivotangulia kuandika hapo juu, sim yangu ni mpya kilichofanyika nikuwa nili iformat cm yangu sasa wakati wa kuwaka imekomea katika sehemu ya kusearch Wi-Fi inaseatch tu haimalizi tangu asubuhi saa 5 mpaka saa 12 nasubiri labda itanipa option ya ku skip lakini hamna kitu. Je nifanyeje wandugu?
mkuu matatizo ya simu za mediatek moja wapo ni kwamba hazina balance ya specs,hivi chief specification za hii simu kama c9. ukilinganisha na simu za kampuni nyingne kama iphone, sony, sumsung au lg bei yake ni shingapi.
itakuwaje sio mpya na wakati imezinduliwa muda si mrefu?Sio mpya hiyo hilo ni kimeo
Android 6 ina uki format lazima uweke wifi ili ku sign na google account wanaita FRP factory reset protection hivyo tafuta internet ya wifi itaendelea vizuriHabarini waungwana kama nilivotangulia kuandika hapo juu, sim yangu ni mpya kilichofanyika nikuwa nili iformat cm yangu sasa wakati wa kuwaka imekomea katika sehemu ya kusearch Wi-Fi inaseatch tu haimalizi tangu asubuhi saa 5 mpaka saa 12 nasubiri labda itanipa option ya ku skip lakini hamna kitu. Je nifanyeje wandugu?
tulishasema na kurudia saana kuwa hakuna simu yoyote ya tecno itakayouzwa zaidi ya laki 2 kulingana na material yanayotumika kuzitengeneza. mfano majuzi kuna nesi mmoja (jina kapuni) akauziwa tecno winpad kwa sh laki9. ameitumia kwa wiki3 tu imegoma kupokea charge, jana nilipoenda kwake nikamwambia kuwa pamoja nakuibiwa airudishe tu alikoinunua wamtengenezee. jamani kuweni makinihivi chief specification za hii simu kama c9. ukilinganisha na simu za kampuni nyingne kama iphone, sony, sumsung au lg bei yake ni shingapi.
kaka pole sana kwa janga hilo, hiyo simu si ni mpya ina week 2 tu? hebu warudishie dukani ulikonunuaMkuu nikifanya hivo inanipeleka kwenye recovery mode na niki reboot inaanza select cm for data, inafuata select cm for call inafuata select cm for massage baada ya hapo inafika katika searching for wife ndo inaendelea hivohivo mwisho ndo hapo inaishia.