Mwantela92
Member
- Jan 24, 2012
- 53
- 5
Nili apply chuo 2012 nikachaguliwa Tumaini University na sikuenda kusoma. Sasa hivi nataka ku apply chuo tena inakataa wapi naweza pata msaada.
umeshapeleka confirmation letter TCU kama bado fanya hivyoNili apply chuo 2012 nikachaguliwa Tumaini University na sikuenda kusoma. Sasa hivi nataka ku apply chuo tena inakataa wapi naweza pata msaada.