Msaada TCU waendelea kunitesa

kuku mweus

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
765
Reaction score
604
Wakuu nilibahatika kuomba vyuo vitatu ila mungu kasaidia jina langu limekuja kwenye multiple nimepata Iringa university pamoja na SAUT mwanza Ila cha kushangaza mpaka Leo tarehe 6 cjapata confirmation code nikipiga cm TCU hawapokei vyuo husika wanasema niwasiliane na TCU msaada ndugu zangu hata Wa mawazo nifanyeje ili niweze saidiwa
 
By the way....wakikwambia wasiliana na TCU hawamaanishi kwa njia ya cm pekee
 
Ongea shida yako mimi niko TCU huduma kwa wateja unataka nini
 
Write your reply...daah kuku mweusi Ata mimi kisanga bro Hawa tcu mungu anawaona
 
Kama ni simu hata mimi nimepiga sana, ipo busy all the time na hata ukiipata hawapokei nimetuma email sijibiwi, yani hawa tcu Mungu anawaona na hizo codes
 
Tanzania hatujawahi kujiandaa na mifumo mipya ya kiutendaji kazi... Huwa tunakurupuka tu na kuifanyia majaribio kwenye vitu vya maana na vya msingi... Rejea... Award Verification Number(AVN) Kutoka NACTE ni uozo mtupu hakuna cha maana wanachofanya
 
Tanzania hatujawahi kujiandaa na mifumo mipya ya kiutendaji kazi... Huwa tunakurupuka tu na kuifanyia majaribio kwenye vitu vya maana na vya msingi... Rejea... Award Verification Number(AVN) Kutoka NACTE ni uozo mtupu hakuna cha maana wanachofanya
Naona kitu ile inaitwa PILOTING (Majaribio) ni tatizo kwetu (TCU, NACTE, NECTA, Vyuo) yaani mtu anakuja na mfumo mpya bila kuufanyia majaribio ya kutosha, na hasa shinikizo linapotoka kwa wakubwa inabidi bora liende. Kumbukeni JPM ndiye alie agiza vijana wachague chuo na course moja kwa moja ili wapate wanachokipenda na sio "kupangiwa" na TCU - na TCU kwao ilibakia utekelezaji, MULTIPLE SELECTION zikatesa sana vijana kwenye ku-konfem, mikopo na course (wapo wengi tu mambo yalipokaa vibaya walijipachika tu ili wasikose vyuo. Mwaka huu tena MULTIPLE SELECTION mwiba. Mwaka huu ni MULTIPLE SELECTION na mdogo wake CONFIRMATION CODES (kuzipata na kuuzingiiza imekuwa shida).
Tunawasema admission desks lakini nina hakika na wao cha moto wanakiona, kwani kila chuo kinajitahidi kupata wanafunzi issue ni je wana watu wa kutosha na technolojia inayojitosheleza. Sidhani.
 
Huuu ni upuzi TCU wanao ufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…