Msaada TCU vs Sec selection | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada TCU vs Sec selection

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by F2S, Aug 25, 2011.

 1. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wana jf, hawa tcu wanenichanganya jumla. Walitoa list ya wanaotakiwa kufanya second app sikuwemo then jana nikapata info kuna list nyingine kucheki nimo na deadline imepita ila kuna opt ya kutuma kwa mail na fax. Fax ikanigomea but mail ikaenda. Shida ni pale ambapo contact zetu wanazo lakini hawazitumii kutupa feedback. Hata dead line ya kuemail wameandika ni wenesday 25Aug2011. Je ntakuwa considered
   
 2. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  note:wenesday ni tarehe 24 sio 25 sasa which is the correct deadline? Wadau wenye kesi kama yangu mmefanya aje mnijuze
   
 3. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  List nyingine ipi? 2julishe! Ninavyojua mimi kuna list tatu yan qualified but no selected ambao ndio waliotakiwa kuapply tena na wale wasioapply first round,walio mis one principle A'level na walio mis credits 0'level! Je wewe ulikuwa wapi? Kat ya hizi category tatu?
   
 4. P

  Pejokiss Senior Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kutokana na takwim zao kuna watu 4000 ambao walikuw qualfied but not selected hvyo walitakiw kuomba tena lkn mpaka cku ya dead line kwa secnd round(22/8) ni watu 700 tu ambao waliomba tena so kuona hvyo tcu wakaamua kutuma sms kwa watu 3300 ambao hawakuomb wakihofia kuw itakuja kuw suprise kubw kwao kwan watadhan wamechagulwa kumbe sio.so kama wamekutumia sms na ww ni mmoja wapo hvyo ulipasw ku2ma fax au mail wednesday24 so kama hkufnya hvyo cjui kama utakuw considered au la.then l thnk u get me!
   
 5. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna list imeandikwa current vertion ya qualified but not selected, inamajina 9200+ hata hiyo sms mimi sikuipata. I guess a lot of applicant have missed this.
   
 6. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nashaur km una wasi ni bora ukaenda kwny ofisi zao wakuu, kabla mambo hayajaasibika. Nawatakia wepes wakat wa wakat huu wa kizungumkuti
   
 7. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna current vertioni ina majina 9000+ sio 700
  mkuu.
   
 8. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
   
 9. P

  Pejokiss Senior Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jumla ya walioomba tcu mwaka huu ni 40175 na ambao walipata kweny first round ni 31000ambo majina yao yamepelekwa bod ya mkopo so hawa 9175 waliobaki 4000 kati yao wana vgezo lkn hawakuchguliw kw sbabu tofaut hvyo wakaambiwa waombe tena hvyo kuna watu zaid ya 5000 ambao wameachw kwa kutokuw na vgezo,pia ujue kuw hz inf nmezpata ktoka kwa m2 wa ndan pale tcu kwa hyo kama una mashak na bahti nzur upo dar ni bora ufike kwenye ofisi zao!
   
 10. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 11. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks mkuu naomba utuulizie kwa huyo jamaa kuna mpango wowote wa tcu kutoa 3rd appl? Naomba kujua na office zao ziko wapi mkuu..
   
Loading...