ni bodi gani inaanza kutoa majibu kati ya tcu na bodi ya mikopo m maana naona HELSB wapo kimya wakat ndo tulianza kuomba kabla hatujaomba vyuo na tayar saiv baadh ya vyuo vishatoa majib

hii inatokana na kwamba helsb baadhi ya sifa zinatokana nanafaculty uliyopangiwa kama ni priority au non priority thus why zinaanza post za vyuo kama walivyotoa tbatchone Udsm na. nk