Naomba kujulishwa kwa walioomba vyuo elimu ya juu kama umechaguliwa tayari kwenye cas selection status inaandika nini? Maana nina kwangu bado jina halijatoka na vyuo nilivyoomba ni udsm, udom na sua. Majina sua bado kwa udsm na udom jina halimo..
Mkuu amebakiza choice moja tu na ilikuwa first choice yake. Na hakuwepo kwa waliokosa afanyeje ajue kama kapata? St john imebak, au ndo mishe imekwama?