Msaada TBC kwenye DStv.

dylan

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
13
Reaction score
4
Habari wakuu...!
Sorry wakuu,kuna shida upande wangu sasa sijajua kama ni kwangu tu au laah.. TBC kwenye DStv haitoi sauti ila channel nyengine zote zinasauti kama kawaida,its almost two weeks now, msaada wenu wakuu.
Thanx :yo:
 
ulijaribu kuiongeza sauti yaani weka hiyo tbc halafu ongeza sauti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…