MSAADA TATZO KTK WINDOWS 10

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
774
Reaction score
1,006
Wadau naomba msaada...ktk windows 10 yangu nlikua na App ya UTORRENT...sasa baada ya kurestart computer imeondoka kweny desktop na sehem nyingine kama vile star menyu...

Kibaya zaidi kulikua na dwnloads zinaendelea! Nifanye nn kuirudisha ikiwa na downloads zangu zikiendelea?
 
Hapa umebugi mkuu
Utarestat vip wakati iko kwenye download

Any way kama uliregister wakati ukiwa nayo hiyo app long in

Ila download tu nyingine
 
hio utorrent hio U yake sio U ya kawaida ni µTorrent jarivu kusearch kwa kucopy hilo neno.

au alternative click start then kwenye all programs scroll mdogo mdogo mpaka uipate.
 
hio utorrent hio U yake sio U ya kawaida ni µTorrent jarivu kusearch kwa kucopy hilo neno.

au alternative click start then kwenye all programs scroll mdogo mdogo mpaka uipate.
mkuu naomba nisaidie kuhusu window hello tafathali
 
Fanya hivi..
Download Utorrent app tena..
Kwenye PC pale kwenye download file usifute chochote..
Tafta ulichokuwa unadownload weka tena kwenye torrent itaredownload file tena hata kama lilifika 99% litaendelea hapo hapo..
Cha msingi ukumbuke ulichokuwa unadownload
 
windows hello ni pana sana ulikuwa unataka kitu gani specific?
Je inawezekana kuweka window hello kwenye pc kama inaandika windows hello isn't available on this device.Naitaji kutumia kama security kwenye pc yangu ya hp pavilionx360, facial recognition
 
Je inawezekana kuweka window hello kwenye pc kama inaandika windows hello isn't available on this device.Naitaji kutumia kama security kwenye pc yangu ya hp pavilionx360, facial recognition
windows hello sio lazima iwe face recognition inaweza ikawa fingerprint, iris scanner na biometric security nyengine. kama unacho kimoja wapo itakubidi ueke drivers zake ndio itafanya kazi.

pia unaweza ukaeka vya nje mfano zipo finger scanner au face recognition ambazo unachomeka tu kwenye usb zinafanya kazi mfano Intel real sense.


pia niameangalia specs za laptop yako inakubali face recognition (hardware ipo) ila kuna uwezekano hujaeka drivers zake.

unajua kudownload drivers?
 
Hapana ndg kama sijuhi naomba muongozo kuhusu drivers kudownload

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
fuata directory hii ndani yake (humo roaming) uatona utorrents files zi click then you are done C:\Users\jfuser\AppData\Roaming note: jfuser replace to your particular user
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…