Msaada tatizo la windows 7 kustuck kwenye logo

Msaada tatizo la windows 7 kustuck kwenye logo

Joined
Jan 4, 2014
Posts
35
Reaction score
11
Habari wadau, desktop yangu ilikua inapiga kazi fresh tu ina run windows 7 64 bit, sasa gafla wakat wa kuwasha naona inaishia kwenye logo.

Nikajarb hii solution, nikatumia bootable flash ili nipate kufika kweny cmd, maana hata nikijarbu kuipeleka kwa safe mode still ilikua inafika sehem inastuck, sasa baada ya kuifikia cmd nikaweka hii command: bootrec /rebuildbcd. Baaada ya hapo ikawaka fresh.

Ila baada ya siku mbili tatizo likarudi tena nikafanya solution ile ile ikakubali tena, lakin bado tatizo likarudi tena nikasema ngoja nipige tena windows 7 nyingine, nayo ikafanya kazi baada ya siku kama 3 hiv tatizo limerudi tena.
Sasa naombeni msaada wenu tatizo linaweza kuwa nini hapo.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom