Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Super GlueMimi nilikuwa na tatizo kama hilo ila niliondokana nalo baada ya kuambiwa na mtu ukimaliza kunyoa chukua simenti kidogo na super glue kisha changanya na upake kwenye kidevu.
Kiukweli matokeo yake ni ndani ya muda mfupi sana, ndani ya wiki moja makovu na vipele vilisha.
We regard you as great thinker.Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo ila niliondokana nalo baada ya kuambiwa na mtu ukimaliza kunyoa chukua simenti kidogo na super glue kisha changanya na upake kwenye kidevu.
Kiukweli matokeo yake ni ndani ya muda mfupi sana, ndani ya wiki moja makovu na vipele vilisha.
Kama ni great thinker kwanini umeshindwa kubaini suluhu ya tatizo lako na ukaleta hapa andiko la kuomba msaada.We regard you as great thinker.
Consider that before you post.
Do you know 7 methods to solve problems?Kama ni great thinker kwanini umeshindwa kubaini suluhu ya tatizo lako na ukaleta hapa andiko la kuomba msaada.
Hata hivyo si lazima ufuate ushauri wangu, naandika kile nilichofanya na kikanipa matokeo kama huamini ACHA.
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo ila niliondokana nalo baada ya kuambiwa na mtu ukimaliza kunyoa chukua simenti kidogo na super glue kisha changanya na upake kwenye kidevu.
Kiukweli matokeo yake ni ndani ya muda mfupi sana, ndani ya wiki moja makovu na vipele vilisha.
Sijataka mjadala kuhusu hizo "methods" wewe kama unataka tumia kama hutaki acha.Do you know 7 methods to solve problems?
Sina akili ndiyo maana wewe mwenye akili unacheza ngoma ya asiye na akili.Huna akili