Msaada: Tatizo la vidonda miguuni

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,927
Reaction score
4,199
Habari,

Wakuu naomba msaada. Mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amekuwa akitokewa na vipele miguuni (rejea picha hapo chini), akivikuna vinakuwa kama vidonda. Usiku vinamuwasha anateseka kweli.

Nilimpeleka hospital wakasema ni mchafuko wa damu akapewa dawa hakupona. Nikampeleka hospital nyingine pia nikaambiwa ni mchafuko wa damu akapewa dozi ya sindano vikawa kama vimekauka kabisa. Sasa vimetokea tena, hii hali siielewi ndugu zangu.

Naomba ushauri nini nifanye kuondoa hili tatizo moja kwa moja.

Picha nimeambatanisha.

View attachment 1761153
View attachment 1761160
 
Hili tatizo lilimsumbua sana mtoto wangu katika umri kama huo,hata sikumbuki aliponaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…