Luhungu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 816
- 232
Habari wana jamvi, nimewafikeni kwa tatzo hili, naomba nijieleze kwa madaktari humu ndani.
Nimekuwa nikisumbuliwa na vichomi kwa takribani miaka 13 sasa, kila hospital niliyo fika niliishia kudungwa cristapen za masaa.
Mwaka jana nikaanza kusikia hali ya kifua kama nakosa hewa japo hakuna maumivu, hali hii imeendelea hadi sasa na dalili nyingine imeibuka ya kila ikitokea baridi au nikiwa exposed katka bard hali hii inazid sana.
Kinaibuka kikohozi na hali ya msukumo wa kulazimisha kikohozi.
Vichomi haviishi na hali hii inaendelea kuzidi,
Nimepima Tb na HIV niko salama.
Naombeni mnisaidie kabla cjaelekea kwa daktar wengine. Asanteni