Msaada! Tatizo la Stabilizer kuunguza Fuse

Anigrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
1,698
Reaction score
4,284
Habari zenu wakuu...! Niende kwenye mada moja kwa moja

Sehemu nayoishi kuna tatizo la umeme kuwa hauna nguvu/umeme mdogo kiasi kwamba kuna baadhi ya vifaa vya umeme ukiwasha haviwaki au vinawaka kwa kusua sua sana

Kutokana na tatizo hilo ikawa ni ngumu kutumia fridge Kwani muda wote umeme unapanda na kushuka, nikashauliwa nitafute stabilizer ili inisaidie kwenye issue ya fridge

Nikatafuta na kuanza kutumia, siku ya Kwanza kuanza kutumia ilipiga kazi vizuri na Fridge liakawa linawaka muda wote tofauti na mwanzo

Ila shida imeakuja jana usiku baada ya kushtukia tu Stabilizer imezima ghafra, nikajaribu kuangalia dalili za shoti ila sikuona, ikabidi nifungue sehumu iliyoandikwa Fuse, na kukuta imeungua

Ikabidi leo niwe na kazi ya kutafuta replacement, ile Fuse niliyoikuta ilikuwa ina 10A, hivo ikanilazimu kutafuta hiyo hiyo ila sikufanikiwa kupata, nikapata ya 6A

Nimekuja kujaribu kuweka ila hii ndio imeungua mapema sana ata kabla ya fridge kuwaka, nikaweka tena ingine na habari ikawa ni ile ile

Sasa nimekuja kwa wenye uelewa na hivi vitu, je natakiwa kupata exactly Fuse yenye 10A? na nimejaribu kutafuta kwa maeneo yangu nimefeli kupata, je naweza kuweka iliyo juu ya 10A? Mfano nikipata 12/13A?

Athari zake zinaweza kuwa zipi endapo nikiweka Fuse yenye Ampire kubwa kuliko ile iliyokuwepo mwanzo? Na hiyo ya 10A naweza kupata wapi kwa urahisi

NB: Kwa sasa nipo Vikindu-Mkuranga

IMG_20221113_211558.jpg
 
NB: Kwa sasa nipo Vikindu-MkurangaView attachment 2415821
Angalia fridge yako inakula umeme kiasi gani kama ni above 10A,12A au 13A

Nunua hata fuse ya 12 au 13A
 
Nimecheki mkuu na nimeona wameandika maximum current 10A, sasa hapo kwahiyo natakiwa kupata fuse ya 10A au inakuaje?
 
Habari zenu wakuu...! Niende kwenye mada moja kwa moja

Sehemu nayoishi kuna tatizo la umeme kuwa hauna nguvu/umeme mdogo kiasi kwamba kuna baadhi ya vifaa vya umeme ukiwasha haviwaki au vinawaka kwa kusua sua sana

Kutokana na tatizo hilo ikawa ni ngumu kutumia fridge Kwani muda wote umeme unapanda na kushuka, nikashauliwa nitafute stabilizer ili inisaidie kwenye issue ya fridge

Nikatafuta na kuanza kutumia, siku ya Kwanza kuanza kutumia ilipiga kazi vizuri na Fridge liakawa linawaka muda wote tofauti na mwanzo

Ila shida imeakuja jana usiku baada ya kushtukia tu Stabilizer imezima ghafra, nikajaribu kuangalia dalili za shoti ila sikuona, ikabidi nifungue sehumu iliyoandikwa Fuse, na kukuta imeungua

Ikabidi leo niwe na kazi ya kutafuta replacement, ile Fuse niliyoikuta ilikuwa ina 10A, hivo ikanilazimu kutafuta hiyo hiyo ila sikufanikiwa kupata, nikapata ya 6A

Nimekuja kujaribu kuweka ila hii ndio imeungua mapema sana ata kabla ya fridge kuwaka, nikaweka tena ingine na habari ikawa ni ile ile

Sasa nimekuja kwa wenye uelewa na hivi vitu, je natakiwa kupata exactly Fuse yenye 10A? na nimejaribu kutafuta kwa maeneo yangu nimefeli kupata, je naweza kuweka iliyo juu ya 10A? Mfano nikipata 12/13A?

Athari zake zinaweza kuwa zipi endapo nikiweka Fuse yenye Ampire kubwa kuliko ile iliyokuwepo mwanzo? Na hiyo ya 10A naweza kupata wapi kwa urahisi

NB: Kwa sasa nipo Vikindu-MkurangaView attachment 2415821
Ukiweka fuse yenye ampire kuwa maana yake utaunguza hiyo stabilizer yenyewe kivipi sasa.

Kazi ya fuse ni kulinda kwa kupitisha kiwango fulani cha umeme, kama umeme ukiwa mkubwa zaidi ya kiwango kilichowekwa maana yake fuse inakata. Ikikata moto utashindwa kwenda kwenye chombo chenyewe.

Ukiweka fuse yenye ampire 10 kwenye chombo ambacho ampire yake ni 4 maana yake kama utakuja moto mkubwa wenye 6 ampire utapita na utaenda kuunguza hiko chombo.

Nadhani ushanielewa mkuu kazi ya fuse ni kulinda kwa kulipitisha kiwango maalum cha umeme kikizid kinakata (kinalinda).
 
View attachment 2415821
Angalia Ampere(A) ya vifaa vyako vyote unavyo unganisha kwenye stablelizer kisha tafuta jumla yake ndipo ujue fuse ya kuweka
 
Pamoja mkuu nimekupata
 
Angalia Ampere(A) ya vifaa vyako vyote unavyo unganisha kwenye stablelizer kisha tafuta jumla yake ndipo ujue fuse ya kuweka
Nashkuru sana mkuu, nadhani hii ndio itakuwa solution, maana kabla ya kuungua ile Fuse ya Kwanza huo muda nilikuwa nimechomeka jagi la kuchemshia maji

Nadhani iliungua Kwa kuzidi Ampire, sasa nimejaribu kuangalia kwenye jagi kama wameandika lina Ampire ngapi ila nimekosa, sasa Kwa uzoefu wako hayo majagi waga yanakuwa na Ampire ngapi?

Na jagi sio mara Kwa mara natumia, sasa kama nitaweka Fuse ambayo nimejumlishia na A za jagi maana yake Fuse itakuwa na A nyingi ambazo hazitumiki mara Kwa wakati mmoja je kutakuwa hakuna Athari?
 
2000Watts
 
Back
Top Bottom