Jaman cm yangu inatabia ya kujirudia sms endapo nikiizima na kuiwasha,namaanisha sms ambazo tayari nimeshazisoma nikiwasha cm tu zinaingia as a new sms
Fuata Maoni Haya naweza Kuwa Solved
Lakini Pia Kama Ni Laini ya Tigo Hao watu wasenge sana Siku hizi mbali Na kuwa wameamua kutufirisi ila wanatabisa ya kuduble text