Habari wana jamii...
Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku.
Habari wana jamii...
Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku.
Tafuna karoti kwa wingi, tumia maganda ya ndizi za kuiva (sugua meno yako na maganda hayo kabla ya kipiga mswaki, yana kalsiam, magniziam na manganizi ambazo hung'arisha meno, kwa maelezo zaidi tembelea dhahaabu. Blogspot. Com