Msaada: Tatizo la LIMITED Internet access kwenye PC.

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Nini kinasababisha connection za Internet access zinafeli na kuandika LIMITED Internet access napounganisha wireless ya simu kwenye PC. Pia naomba namna ya ku solve tatizo. Pc yangu ni HP na Simu ni TECNO H6
 
Back
Top Bottom