jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,980
- 4,284
Wadau,
Ninahitaji msaada na uzoefu wenu. Nina LG TV flat 32 inches niliinunua 2012, Nimeitumia kwa muda mrefu bila matatizo. Ila kwa sasa ina kawaida ya kutowaka kwa wakati, yaani nina switch on haiwaki kwa wakati huohuo, inaweza ikachukua nusu saa ndio inawaka na kudisplay kwenye screen. Je tatizo ni nini? Kuna yoyote ambaye hili limewahi kumtokea?!
Msaada tafadhali, hata wa kuelekezwa kwa fundi mzuri.