social_science JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 1,104 Reaction score 1,262 Apr 22, 2017 #1 habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,121 Reaction score 12,931 Apr 22, 2017 #2 Wewe si social science?? Onesha maajabu ya science
Gulio Blog JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,056 Reaction score 4,124 Apr 22, 2017 #3 social_science said: habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari Click to expand... inawezekana ulikuw unakula kula vitu vya baridi sasa makohozi yanakuw Kama yananata nata ndo mana inakuwa ngumu kuyatoa jaribu kupiga mswaki unakuw unaupitisha had kooni utakuw unahisi kama kutapika
social_science said: habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari Click to expand... inawezekana ulikuw unakula kula vitu vya baridi sasa makohozi yanakuw Kama yananata nata ndo mana inakuwa ngumu kuyatoa jaribu kupiga mswaki unakuw unaupitisha had kooni utakuw unahisi kama kutapika
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,805 Apr 22, 2017 #4 Kunywa maji ya moto mix na limao kwa asubuh na jioni, Halafu acha kunywa maji ya baridi