MSAADA: TATIZO LA FLASH (external storage) KUJI'UNMOUNT KWENYE SIMU.

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,118
Reaction score
5,368
Heshima yenu wakuu.

Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG.
Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo halitokei.

Sasa naomba msaada cha kufanya kuzuia isiwe inaji'unmount huku sim network ikiwa on (airplane mode off).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I format kwa SD formater software ili kuweka vema magnetic components zake. Ila fanya data backup kwanza

Back
Top Bottom