Msaada: Tatizo la damu ya hedhi

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Ni mke wangu, kwanza kabisa anaweza kaa siku zaidi 50 mpaka miezi 2 hajaona siku zake, mbaya zaidi akiona anakaa tena kama siku 10 anaona tena na sasa hivi imekataa kukatika kabisa.

Naomba mwenye kujua tufanye nini ili ikate na ile tatizo likome, alikuwa nalo kabla hajazaa, akaambiwa akizaa litaisha labda ni homon imbalance, ila ameshazaa, likakoma kama mwaka then limeanza tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom