yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Wakuu nikiwasha computer yangu inaleta ujumbe ufuatao kama unavyoonekana kwenye picha. Haiedelei zaidi ya hapo.
View attachment 911603View attachment 911604
Haileti mkuu. Bado nikiwasha inaleta vile vile kama mwanzoZIma computer (Shikilia Butto ya Power ahdi izimike), Washa computer ikileta option za kuchagua Kati ya Launch startup and repair au Start windows normally, chagua START WINDOWS NORMALLY
sio tatizo kubwa,je una image ya windows uliyotumia awali?Haileti mkuu. Bado nikiwasha inaleta vile vile kama mwanzo
Sina mkuu. Ila ni window 7sio tatizo kubwa,je una image ya windows uliyotumia awali?
computer yako inataka kufanya system restore ambao itawezesha hyo computer kufanya kazi kama awali,sasa kama ungekuwa naSina mkuu. Ila ni window 7
Huku nafikaje mkuu mpaka kuipata hii?target ni system restore,baada ya hapo kila kitu kinakuwa kama awali
unafata process zote za kupiga windows ukifika hatua ya picha ya kwanza hapo unachagua repair your computer baada ya hapo unapelekwa picha ya pili unachagua system restore ambayo itakupeleka ktk picha hii mpyaHuku nafikaje mkuu mpaka kuipata hii?
Ok. Kwahiyo inabid niwe na cd ya window. Hapo ngoja nimtafute mtaalam maana sina vitendea kazi.unafata process zote za kupiga windows ukifika hatua ya picha ya kwanza hapo unachagua repair your computer baada ya hapo unapelekwa picha ya pili unachagua system restore ambayo itakupeleka ktk picha hii mpya
yep,kwan uko kipande ipiOk. Kwahiyo inabid niwe na cd ya window. Hapo ngoja nimtafute mtaalam maana sina vitendea kazi.
Nko Kimara Korogweyep,kwan uko kipande ipi
Wewe uko wapi? Pengine naweza nikaja mkuuParefu huko mwanangu ungekuwa karbu tungeangalia tunasaidiana vipi