Habarini ndugu wataalamu, naombeni misaada wenu kutatua hii changamoto ya computer kula sana MB, yaan ndani ya dakika 5, unakuta umetumia 500MB, na hapo hujadownload kitu chochote.
Hii inasababishwa na nini na je inawezekana kutatuliwa.
Msaada wenu tafadhali.
Hii inasababishwa na nini na je inawezekana kutatuliwa.
Msaada wenu tafadhali.