Msaada tanroads-lindi

mjombakaka

Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
26
Reaction score
16
samahani wadau...naulizia kama zile nafasi za "CASHIERS" ambazo interview ilifanyika jan 12 kama watu walishaitwa kazini.
 
Me mwenyewe nilikuwepo kwenye hiyo interview ila mpaka sasa cjackia chochote. Labda anayefahamu a2julishe.
 
Nilijaribu kuwacliana na wadau wengine waliofanya interview za Tanroads ktk mikoa mingine, kila m1 anasema na yeye hajackia chochote kama kuna wa2 walioitwa. Ila KIBAHA nao wametoa nafac 8 za cashiers, co mbaya kama 2kiomba na hizo.
 
yes.....KIJANA MGUMU zile za kibaha niliziona asee,na nimeshazifanyia utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…