Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
- Thread starter
-
- #21
Shukrani sana Mkuu.Nyoka mweusi ni roho ya umauti.
Kuona mtu amemezwa na joka nyeusi ni kwamba.
Kutakuwa na mauti siku za usoni.
Wito wangu, omba na zuia kila roho ya mauti kusudiwa dhidi YAKO/watu wa karibu .
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuu, shukrani.Kwa mujibu wa ndoto yako inaonesha nguvu za kiroho ulizo nazo na maonyo na maelekezo.MTU wa kichwa cha kawaida hawezi kuota ndoto kama hiyo na humu mtandaoni si kila mtu ni mwema.
Amina
Waliokutafsiria hawajatafsiri ndoto yako sawa sawa. Kidogo taamu amejaribu kwa asilimia kama 40. The rest ni waongoHabari Wakuu.
Najua humu ndani tuko watu tofauti kwa kila mtu kubarikiwa kwa jinsi yake,.kila mtu ako na karama yake, sasa kuna ndoto nimeota jana na ilivoisha tu nikashtuka na kuogopa sana na ningependa wajuvi mniambie maana yake yaweza kua ni nini. Wale wenye karama ya kutafsiri ndoto naomba tafasiri tafadhari.
Ndoto yenyewe ni hii[emoji116]
Nilikuwa mahali mtaani kama highlands hivi yani mji uko mlimani so tunaona chini na tumezungukwa na milima midogo na misitu pia ya miti mikubwa but haka ka mji kameendelea sana
Nilikuwa kwenye kona ya jengo kama la supermarket karibu na barabara namsubiri mtu (sijajua nilikua namsubiri nani, kuna dada akapita kama ananijua ila me sijajua ni nani akasema twende nikasema me namsubiri (ambae hadi sasa sijui).
Ghafla akatokea nyoka wa njano mkubwa sana kwenye msitu ule (yani sisi mji si uko kwa juu ila tunaona chini, so tunaona yule nyoka akiwa juu kabisa ya miti ya matawi akijongea kutufuata, nikaogopa sana watu wakaanza kukimbia wengine kuja kuona huyo nyoka, ghafla akatokea mtu , akasema wacha nisaidie kumkamata huyo nyoka, akawa na vifaa vya kumkamata, akaenda juu ya ile miti akaanza kumtishia yule nyoka na kumgonga gonga na fimbo yake, nyoka akalegea kabisa akasema huyu tayari, kabla hajamaliza kumkamata akatokea nyoka mwingine mkubwa zaidi sasa huyu ni mweusi anatisha sana na mkubwa sana, watu wakaanza kupiga kelele ondoka huyo mwingine anakuja akasema huyu tamuweza pia, ghafla wakati anajiandaa kumkabili, yule nyoka akamuwahi jamaa akammeza kiwiliwili chote, akawa anajitahidi kujiokoa ila nyoka akawa anazidi kummeza , hadi akammeza kabisa ...
Nikashtuka nikiwa na hofu kubwa na niliogopa sana. Huwa naota ndoto lakini si kwa mtiririko ulionyooka hivi, hii ndoto inaweza kua na maana yoyote au ni ndoto tu. Wanasema ndoto ni mjumuiko wa mambo unayokua unawaza au kuona then ukilala ubongo unakua kama unaendeleza lakini mbona sijawahi waza manyoka nyoka wala anything kuhusu nyoka. Msaada please.
Mshana Jr Sky Eclat
Rakims
Unaweza pia kuchangia ndugu yangu, karibu.Waliokutafsiria hawajatafsiri ndoto yako sawa sawa. Kidogo taamu amejaribu kwa asilimia kama 40. The rest ni waongo
Kwa mujibu wa hii ndoto kuwa Kuna mwanamke alikupenda na alitaka ndoa na wewe Ila ukamzingua wakaja matapeli.Habari Wakuu.
Najua humu ndani tuko watu tofauti kwa kila mtu kubarikiwa kwa jinsi yake,.kila mtu ako na karama yake, sasa kuna ndoto nimeota jana na ilivoisha tu nikashtuka na kuogopa sana na ningependa wajuvi mniambie maana yake yaweza kua ni nini. Wale wenye karama ya kutafsiri ndoto naomba tafasiri tafadhari.
Ndoto yenyewe ni hii[emoji116]
Nilikuwa mahali mtaani kama highlands hivi yani mji uko mlimani so tunaona chini na tumezungukwa na milima midogo na misitu pia ya miti mikubwa but haka ka mji kameendelea sana
Nilikuwa kwenye kona ya jengo kama la supermarket karibu na barabara namsubiri mtu (sijajua nilikua namsubiri nani, kuna dada akapita kama ananijua ila me sijajua ni nani akasema twende nikasema me namsubiri (ambae hadi sasa sijui).
Ghafla akatokea nyoka wa njano mkubwa sana kwenye msitu ule (yani sisi mji si uko kwa juu ila tunaona chini, so tunaona yule nyoka akiwa juu kabisa ya miti ya matawi akijongea kutufuata, nikaogopa sana watu wakaanza kukimbia wengine kuja kuona huyo nyoka, ghafla akatokea mtu , akasema wacha nisaidie kumkamata huyo nyoka, akawa na vifaa vya kumkamata, akaenda juu ya ile miti akaanza kumtishia yule nyoka na kumgonga gonga na fimbo yake, nyoka akalegea kabisa akasema huyu tayari, kabla hajamaliza kumkamata akatokea nyoka mwingine mkubwa zaidi sasa huyu ni mweusi anatisha sana na mkubwa sana, watu wakaanza kupiga kelele ondoka huyo mwingine anakuja akasema huyu tamuweza pia, ghafla wakati anajiandaa kumkabili, yule nyoka akamuwahi jamaa akammeza kiwiliwili chote, akawa anajitahidi kujiokoa ila nyoka akawa anazidi kummeza , hadi akammeza kabisa ...
Nikashtuka nikiwa na hofu kubwa na niliogopa sana. Huwa naota ndoto lakini si kwa mtiririko ulionyooka hivi, hii ndoto inaweza kua na maana yoyote au ni ndoto tu. Wanasema ndoto ni mjumuiko wa mambo unayokua unawaza au kuona then ukilala ubongo unakua kama unaendeleza lakini mbona sijawahi waza manyoka nyoka wala anything kuhusu nyoka. Msaada please.
Mshana Jr Sky Eclat
Rakims
Pole sana hiyo ilikuwa ni mapigano ya kiroho kati ya roho na maroho nawe yako ilikuwa pembeni kushuhudia.. Huna haja ya kuogopa sana labda tu ijirudie tena kwenye mtiririko huo huo hiyo sasa itageuka kuwa ndoto maonoHabari Wakuu.
Najua humu ndani tuko watu tofauti kwa kila mtu kubarikiwa kwa jinsi yake,.kila mtu ako na karama yake, sasa kuna ndoto nimeota jana na ilivoisha tu nikashtuka na kuogopa sana na ningependa wajuvi mniambie maana yake yaweza kua ni nini. Wale wenye karama ya kutafsiri ndoto naomba tafasiri tafadhari.
Ndoto yenyewe ni hii[emoji116]
Nilikuwa mahali mtaani kama highlands hivi yani mji uko mlimani so tunaona chini na tumezungukwa na milima midogo na misitu pia ya miti mikubwa but haka ka mji kameendelea sana
Nilikuwa kwenye kona ya jengo kama la supermarket karibu na barabara namsubiri mtu (sijajua nilikua namsubiri nani, kuna dada akapita kama ananijua ila me sijajua ni nani akasema twende nikasema me namsubiri (ambae hadi sasa sijui).
Ghafla akatokea nyoka wa njano mkubwa sana kwenye msitu ule (yani sisi mji si uko kwa juu ila tunaona chini, so tunaona yule nyoka akiwa juu kabisa ya miti ya matawi akijongea kutufuata, nikaogopa sana watu wakaanza kukimbia wengine kuja kuona huyo nyoka, ghafla akatokea mtu , akasema wacha nisaidie kumkamata huyo nyoka, akawa na vifaa vya kumkamata, akaenda juu ya ile miti akaanza kumtishia yule nyoka na kumgonga gonga na fimbo yake, nyoka akalegea kabisa akasema huyu tayari, kabla hajamaliza kumkamata akatokea nyoka mwingine mkubwa zaidi sasa huyu ni mweusi anatisha sana na mkubwa sana, watu wakaanza kupiga kelele ondoka huyo mwingine anakuja akasema huyu tamuweza pia, ghafla wakati anajiandaa kumkabili, yule nyoka akamuwahi jamaa akammeza kiwiliwili chote, akawa anajitahidi kujiokoa ila nyoka akawa anazidi kummeza , hadi akammeza kabisa ...
Nikashtuka nikiwa na hofu kubwa na niliogopa sana. Huwa naota ndoto lakini si kwa mtiririko ulionyooka hivi, hii ndoto inaweza kua na maana yoyote au ni ndoto tu. Wanasema ndoto ni mjumuiko wa mambo unayokua unawaza au kuona then ukilala ubongo unakua kama unaendeleza lakini mbona sijawahi waza manyoka nyoka wala anything kuhusu nyoka. Msaada please.
Mshana Jr Sky Eclat
Rakims
Nimefika kwa kuchelewa sikuiona hii tag@mshana Jr unaitwa huku Mkuu
Mimi juzi nimeota gari yangu imeungua moto na kuteketea yoooteee, nikawa namwambia wife tumerudi tena kwenye maisha ya zamani ya daladala na bodaboda na sijui kama tutaweza kununua tena Gari ingine kwa ugumu huu wa maisha, ghafla nikaamka na kumshukuru Mungu kwamba kumbe ni ndoto daahHizi ndoto hizi yan na Mimi Leo hii nimeota nimetulia sehemu ikaja gari spidi Kali sana hata kutaka kunigonga wakashuka jamaa wamevaa sare wamechafuka damu vibaya,wakaniuliza wapi ipo hospital tumepata ajali tunataka tuhifadhi maiti,dah wakuu imenivuruga sana siku ya leo
Shukrani Mkuu.Pole sana hiyo ilikuwa ni mapigano ya kiroho kati ya roho na maroho nawe yako ilikuwa pembeni kushuhudia.. Huna haja ya kuogopa sana labda tu ijirudie tena kwenye mtiririko huo huo hiyo sasa itageuka kuwa ndoto maono
nyoka ni aduiHabari Wakuu.