Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,698
Mi mwanaume,nimeota nina mimba,hyo mimba imejipachka kwenye mkono wa kushoto mbele ya kiwiko,nikawa nimelazwa hospital, nikawa nimepata uchungu wa kuzaa,eti nikiuning'iniza mkono pale kitandan ile mimba inakua inashuka kuelekea vidolen,huku manesi wanasema sukuma, vidole vikawa vipo kama vimejaa maji.
Yaan mfano, mtu ukiungua moto ngozi inavyojaaga maji, manesi wakisema sukuma mi naona mimba inashuka, ilipokaribia vidolen manesi wakaanza kuvaa gloves, nikashtuka.
Naombeni tafsiri
Yaan mfano, mtu ukiungua moto ngozi inavyojaaga maji, manesi wakisema sukuma mi naona mimba inashuka, ilipokaribia vidolen manesi wakaanza kuvaa gloves, nikashtuka.
Naombeni tafsiri