Je unapoandika barua ya kuombea kazi kupitia tume ya ajira unaandika kwa kutumia mkono au kutype ? Japo kwenye maelezo wanasema barua inaweza kuandikwa kwa kiingereza au kiswahili.
Hakuna maelekezo katika aina ya uandishi hivyo ni mapendekezo yako mkuu, ushauri kama unahisi mwandiko wako unaridhisha kwa wasomaji andika kwa mkono utakuwa umewashawishi zaidi kwa kuona upekee wako, lakini km unamashaka nao chapa we tia saini tuma mkuu.sambamba na katika lugha km ya kigeni iko sawa onesha ujuzi, lkn km hun hakika tumia lugha ya taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.