cheusimangala_ Senior Member Joined Dec 1, 2018 Posts 114 Reaction score 177 Jul 3, 2019 #1 Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,599 Jul 3, 2019 #2 Usisahau na mayai, yanaleta ladha nzuri
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,851 Jul 4, 2019 #3 Huwa tamu sana ukiweka na nyanya Usisahau nyanya mkuu Chapati za nyanya ni amsha sana
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jul 4, 2019 #4 Weka unga wa dona..usisahau kuweka ukwaju na manjano
Vituka JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 2,268 Reaction score 1,267 Jul 6, 2019 #5 Tumbukiza ngogwe kwenye maji yanayochemka cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand...
Tumbukiza ngogwe kwenye maji yanayochemka cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand...
hamismzalendo Member Joined Jul 28, 2015 Posts 8 Reaction score 2 Jul 10, 2019 #6 cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand... ww pika tu hayo hayo maji yakikauka ndo chapati zenyewe
cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand... ww pika tu hayo hayo maji yakikauka ndo chapati zenyewe
kamituga JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 1,195 Reaction score 1,936 Jul 10, 2019 #7 Kojoa yakikauka! !!
Kilawakati JF-Expert Member Joined Apr 4, 2019 Posts 328 Reaction score 287 Jul 10, 2019 #8 cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand... OK simple Weka Kijiko Kimoja cha Majani Ya Chai, Biliani vijiko viwili, ndimu Ya Unga Usisahau Na Bamia teketeke.
cheusimangala_ said: Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata! Click to expand... OK simple Weka Kijiko Kimoja cha Majani Ya Chai, Biliani vijiko viwili, ndimu Ya Unga Usisahau Na Bamia teketeke.
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,924 Jul 10, 2019 #9 Chukua kende gonga gonga zikishalegea tumbukiza kwenye hyo maji, hakikisha zimechemka vizuri.
vallentino86 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 533 Reaction score 215 Jul 19, 2019 #10 jaman nahitaj msaada ili nieze kueka thread yang ya kuelekezwa jambo, samahan kwa kuingilia topic