praisegod93
New Member
- Sep 8, 2017
- 3
- 1
Address yao inasomeka ni DODOMA sio Dar!!Technical meaning ni kwamba mail server zao zimejaa.ni heri upeleke tu maombi in hand mkuu Kama upo dar
Kama upo DSM ndo basi tena au inakuwajeAddress yao inasomeka ni DODOMA sio Dar!!
Deadline tarh 30 alafu mail haziendiShukrani mkuu ngoja vijana wachangamkie fursa
Kama unaweza kuituma kwa posta ikafika before deadline utakuwa uko salama. Au kama uko na mtu unamfahamu dodoma ambaye anaweza kukusaidia kuzifikisha ofisini kwao itakuwa njema zaidi kwa maana unawezamtumia kwa basi zikamfikia hata kama ni kesho kisha jumatatu akazipeleka.Kama upo DSM ndo basi tena au inakuwaje