Nawezaje kuzuia pop ups ads kwenye sim yangu.? Yaani unakuta nikitoa password litangazo linatokea kinawakati napiga sim tangazo linatokea nakereka mno. Aina ya sim Ni galaxy A5