Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

Mmanyema

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
25
Reaction score
26
Nawezaje kuzuia pop ups ads kwenye sim yangu.? Yaani unakuta nikitoa password litangazo linatokea kinawakati napiga sim tangazo linatokea nakereka mno. Aina ya sim Ni galaxy A5
 
Nawezaje kuzuia pop ups ads kwenye sim yangu.? Yaani unakuta nikitoa password litangazo linatokea kinawakati napiga sim tangazo linatokea nakereka mno. Aina ya sim Ni galaxy A5
Toa hiyo free app uloweka... kuna apps umeweka ndio zinafanya hivyo. Au zilipie kabisa hizo apps ili kuondoa pop up ads
 
Back
Top Bottom