hiyo waweza ku-unlock temporary au permanent.. njia ya temporary hua una detect port kwa kutumia huawei unlocker, njia ya permanent ni process kidogo inabidi uwe na firmware ya ku-unlock, ufanye backup, flash then una restoreNaomba mnisaidie.. nina modem ya Huawei inatumia tigo 173u-1 sasa nimejalibu ku unlock imekataa.. basi naomba mnisaidie kama kuna app katika PC inaweza kuditect modem kutumia line tofauti wakati naitaji kuitumia coz tigo sio kabisa yaan... Asante