Msaada tafadhari wa unlock code

mashaboy

Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
14
Reaction score
2
habari wakuu.
nina simu ya nokia lumia 521 ambayo imekuwa locked kutumika kwa line za T MOBILE na ningependa kufahamu kama naweza kupata namna ya kuifungua iweze kutumia line zote kwa sababu ninapoiwasha na line nyingine inaomba niweke unlock code.
 
Kaiflash
 
Usiflash. Ukiflash tu ikabadilika imei.... Imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…