M mfukoz Member Joined Aug 11, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Jan 19, 2012 #1 Wana jf nilikuwa naomba mwajf ambaye ataweza kunisaidia version 10 ya ArcGIS iwe Crack ama vyovyote ili mradi iwe version 10 maana kuna kazi nafanya hivyo inanibidi nitumie version 10 ambayo ndio iko uptodate now.Nitashukuru kwa msaada wenu.
Wana jf nilikuwa naomba mwajf ambaye ataweza kunisaidia version 10 ya ArcGIS iwe Crack ama vyovyote ili mradi iwe version 10 maana kuna kazi nafanya hivyo inanibidi nitumie version 10 ambayo ndio iko uptodate now.Nitashukuru kwa msaada wenu.