Msaada tafadhari Qsat 11g

Goldzone

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
161
Reaction score
115
Qsat 11g yangu inabadili channel yenyewe bila kuguswa bila remote nimejaribu kutoa betri kwenye remote lakini tatizo liko vilevile nimejaribu factory reset nimeweka software mpya bado bilabila msaada tafadhali
 
Inajibadili bila kugusa remote?
 
Ya inabadili bila kugusa remote na hata ukitoa betri bado mchezo ule ule.

Flash it to factory default using the flash.bin/rom.bin

Kama situation haitobadilika maana yake kuna button inaji press kwenye receiver pale maana huwa kuna buttons kadhaa...

Kama sio hizo basi ni hardware faults
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…