zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
hbr zenu wana jamvi.
Naombeni namba za simu za hawa wafutao,za kuongea nao moja kwa moja.
Dr jakaya kikwete
dr aly bilali
pm peter pinda
mkurugenzi wa tiss
general mwamunyange
dr jakaya kikwete -0754 777777
jamani mnaogopa kunisaidia
112-Mwamunyange
999-TISS
ukiongea na mwamunyange mwambie bishanga anaomba tenda ya kusaplai ma tomahawk misail nauza bei ya kutupa,na kuna ka drone nauza bei chei,akitaka vi appache helikopta nauza kwa dola mia mia tu kamoja,nightvision,ma eikei47 dola tano tano,fanya fasta tupate hiyo dili kabla wajanja hawajishtukia!
Kama hauna pg kimya si kuleta mbwembweNipe contacts zako halafu nitakutafuta ili nikupe.
We ni Jk.ha ha ha ha ha(Jk) Unasemaje?