Sheikh23 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 1,202 Reaction score 2,002 Jun 9, 2021 #1 Habari wakuu,modem yangu (vodacom) inakata mtandao, yaani sometimes yes, sometime no na muda mrefu inaandika No Service. Najua humu wapo wajuzi zaidi, Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Habari wakuu,modem yangu (vodacom) inakata mtandao, yaani sometimes yes, sometime no na muda mrefu inaandika No Service. Najua humu wapo wajuzi zaidi, Natanguliza shukrani za dhati kwenu.