Msaada tafadhari kuhusu utata wa lugha

Ungemuuliza.... maana wengine wanatikisaga kiberiti ili kujua kama kujua kama faru John yupo kaburini au la
 
Kwani haujui madeko. Alitaka umbembeleze ujishushe kwake. Madhara ni kuonekana boya flan hivi na kukutawala. Faida ni kukuza upendo.
 

alitaka bembelezwa bwana wewe.
 
Tatizo umeshagundua anakupenda sana ndio maana hujali lolote litakalotokea katika mahusiano yenu. . .sio poa

In short alikua anakupima ili aone kama utaonesha hali ya kujali

Kama unampenda puuzia iyo kauli yake ya kutokukupenda muanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…