Msaada tafadhari juu ya tumbo langu

Joined
Jun 3, 2024
Posts
69
Reaction score
220
Nasikia maumivu kama yale ya kukata upande wa kulia wa wa juu karibia na mbavu

Najisikia tumbo kufura

Nikila kidogo najisikia tumbo kujaa

Choo napata vizuri


Inaweza kuwa shida gani?
 
Matibabu ya Tumbo wanachukua sample ya choo ndio unatibiwa mazee baada ya kusubiri tiba kutoka hapa anza muda huu kukimbilia sehemu ya karibu utakayopata tiba bora....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…