Apple ID si unaifahamu? Kama unaifahamu inamaana unachokosea ni PASSWORD?
Kama ni PASSWORD unakosea unaweza ukaibadilisha hiyo Password ila itabidi uingie kwenye Akaunti yako uliyoitumia kwenye Apple ID.
Kama Apple ID huifahamu, nadhani wataalamu kwenye hiyo kitu watakufahamisha nini unaweza kufanya.