Msaada tafadhali

Amoury94

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
89
Reaction score
37
Habar wadau ningependa kufaham hivi inawezekana kuwafata TCU na kubadilishiwa course chuo hicho hicho kabla ya usajili tafadhali mwenye uelewaa na hilii anifahamishe
 
Habar wadau ningependa kufaham hivi inawezekana kuwafata TCU na kubadilishiwa course chuo hicho hicho kabla ya usajili tafadhali mwenye uelewaa na hilii anifahamishe

Hapana Ndugu Usihangaike Cha Msingi Hyo Course Unayotaka Kuhamia Iwepo Pale Chuon Ulipopangiwa..Vyuo Ving Huwa Vnatoa Wik2 Za Kubadilisha Course.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…